Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika...
Barabara ya UBUNGO kutoka Posta wananchi wameifunga
Hii sasa ni balaa wananchi wanamlinda Askofu wao.
Baadhi ya wananchi ( waumini ) ambao walionekana nje ya Kanisa la Ufufuo na uzima ambalo lipo chini ya Askofu Gwajima wakiwa wamefunga barabara kushinikiza kuto kamatwa kwa Askofu wao na hii...