Rais wa Kenya, William Ruto amesema hatomuomba msamaha yoyote kwa kitendo cha yeye kujenga Kanisa Ikulu ambapo amewashangaa wanaoanza kuleta manenomaneno kwasababu amejenga Kanisa hilo huku akisisitiza kwamba hajaanzisha Kanisa jipya bali anajenga Kanisa bora zaidi na la kisasa baada ya kukuta...