Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa notisi ya kisheria ya siku 60 kwa makampuni kadhaa ya michezo ya kubahatisha (betting), likitaka maelezo ya kwanini yaliorodhesha mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Young Africans SC (Yanga) na Simba SC bila idhini.
Mchezo huo wa Dabi...
India imepiga marufuku kampuni zote za michezo ya kubahatisha mtandaoni zinazohusisha pesa halisi, kuanzia tarehe 21 Agosti 2025 baada ya kupitishwa kwa Sheria ya Kukuza na Kudhibiti Michezo ya Mtandaoni, 2025.
Muhtasari wa Sheria Mpya
Kimepigwa Marufuku
Michezo yote ya mtandaoni yenye...
Kwema wakuu, natumaini ni kwema
[emoji1488]
Kampuni za betting hasa hizi za soka zinatumia mfumo gani kupanga odds za mechi, je ni AI inapanga kwa kupewa data za timu zitakazocheza kisha inapanga odds?
Inakuwaje kampuni moja inatofautiana nyingine wakati mechi ni ileile?
Betpawa
Yanga(1.25)...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwafahamisha wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa kuanzia msimu ujao wa 2025/2026 litakuwa na mshirika (partner) wa michezo ya kubashiri katika mashindano yake yote.
Mshirika huyo atashikilia haki hizo kwa kipindi chote cha...
Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi.
1. Mkeka bet
2. Winprinces (online operation)
3. Princes bet
4. Michezobet
5...
Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet.
Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo.
Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa...
Najua sitakuwa mwenyewe kwenye hili, nina uhakika kwenye simu yako lazima utakuwa umeshawahi kutumiwa message na kampuni za betting, kampuni ambazo hata hujawahi kutumia huduma zao na baadhi ya kampuni unakuta ni mpya.
Soma pia:
Je, makampuni ya simu yanatuuza kwa makampuni ya betting...