Kama ulipata kutazama tamthilia ya Money Heist basi jina la Álvaro Morte sio geni masikioni kwani huyu ndio alikuwa Mastermind kupita maelezo wa michongo yote ya kupiga pesa, Morte tunamfahamu kama The Professor ambaye alikuwa mbele ya muda kila wakati kiasi kwamba maafisa usalama walipata...