kampeni za chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    GE2025 Agnesta Kaiza aahidi kuwafuta machungu Wananchi wa Segerea

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameahidi kuwafuta wananchi machungu waliyoyapata wakati wa uongozi uliopita chini ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Bonnah Kaluwa. Akizungumza Oktoba 26,2025 katika moja ya mikutano yake ya kampeni...
  2. tonicimmobility

    GE2025 Aliyoyaahidi Yeriko Nyerere kwenye kampeni za mtaa kwa mtaa kusaka kura

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Yericko Nyerere, amefanya kampeni za aina ya kipekee alizozitaja kuwa “Mobile Campaign”, akiwafuata wananchi walipo na kuhutubia mikutano ya hadhara akiwa njiani bila kutumia jukwaa rasmi, huku akipata...
  3. Mafyangula

    GE2025 Dorcus Francis: Wananchi wengi wanataka uchaguzi kufanyika badala ya “No Reform No Election

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Dorcus Francis, amesema wananchi wengi wanataka uchaguzi kufanyika badala ya kauli ya “No Reform No Election.” Akizungumza katika mahojiano na PM TV Tanzania, Dorcus alisema kuwa alipita kaya kwa kaya kuzungumza na...
  4. Mafyangula

    GE2025 Salum Mwalimu alivyowasili Mbagala kunadi sera, alijiona kama kashakuwa rais wa Tanzania

    Nimeitazama hii video ya Mgombe urais kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu nikabaki kucheka fulani hivi Maana jamaa amejiona tayari ameshakuwa Rais, yani ulinzi mwingi bwebwe kibao, Kweli madaraka matamu na hivi wanatembelea gari za bure basi balaa tupu!
  5. tonicimmobility

    GE2025 Mambo atakayoyafanya Agnesta Kaiza ndani ya siku 100 akiwa mbunge Segerea

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, amesema akichaguliwa kuwa mbunge ndani ya siku mia moja atahakikisha wakinamama wa jimbo hilo wanapata mikopo ili kuwainua kiuchumi. Agnesta ametoa ahadi hiyo alipokuwa akiongea na wakazi wa kata ya...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2020 Mgombea Ubunge Kibaha: Watoto wengi hawaendi mbali kielimu, wanasalia njiani. Nimejipanga kubadilisha hili

    “Watoto wetu wengi hawaendi mbali kielimu, wanasalia njiani. Nimejipanga kubadilisha hili. Elimu lazima iwe bora na ya kuvutia ili watoto wamalize shule,” amesema Khadija. Akizungumza na mamia ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Viwanja vya Kibaha Picha ya Ndege, Halmashauri ya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Moza: Tunalipa kodi ya serikali asilimia 18%, kwahiyo hatuna sababu wanawake kulipia magharama ya kujifungua hospitali

    "hii inawezekanaje? tunalipa kodi ya serikali kila kitu unachokwenda kununua unalipa asilimia 18% hatuna sababu wanawake kulipia magharama ya kujifungua hospitali" amesema Moza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  8. tonicimmobility

    GE2025 Mgombea urais unaanza kujadili mpira kwenye kampeni badala ya kunadi sera zako watu wakuskilize, hivi CHAUMMA mnatuonaje wananchi?

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa neno mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa jana Ametoa neno hilo leo septemba 17 akiwa Kasharunga, Muleba mkoani Kagera akiendelea na kampeni zake kuomba kura kuelekea Oktoba 29 mwaka huu. Chanzo: Nipashe
Back
Top Bottom