kampeni za chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Akili

    GE2025 Hivi kampeni za CHADEMA za no reform no election zitaruhusiwa kwenda sambamba na zile kampeni za kuelekea uchaguzi zitakapofunguliwa?

    Hivi karibuni kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 zitaanza. Tarehe ya kuanza itatangazwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi hivi karibuni. Vyama vyote vya siasa isipokuwa chadema viko kwenye harakati ya kupata orodha ya wagombea wao na kuiwakilisha INEC. Daftari la wapiga kura...
  2. Tlaatlaah

    PreGE2025 Chini ya uongozi wa Lissu na Heche, CHADEMA haiwezi kusimama wala kufua dafu tena kwenye medani za siasa za Tanzania

    Na kwamba uongozi ni kuonesha njia na sio kuwachochea chuki na fujo wanachama dhidi ya wenye maoni tofauti na yao, uongozi sio kukiuka sheria kwa kuropoka, kuwatapeliwa wanachama pesa zao au kuwarubuni na kuwalaghai wanachama wanaowaongoza uhuru na haki zao za kikatiba kama vile kushiriki...
  3. Mindyou

    PreGE2025 Hotuba ya Lissu Uchaguzi Mkuu CHADEMA: Asema amekuwa na Mbowe kwa zaidi ya miaka 20 bila kugombana, amshukuru

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu ambao utaenda kuamua nani atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Lissu amshukuru Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe kwa kufanya nae kazi kwa kipindi cha miaka 20, licha ya kutofautiana kimitazamo lakini amekiri hawajawahi kugombana. "Mheshimiwa mwenyekiti...
  4. Mbangaizaji wa Taifa

    UCHAGUZI CHADEMA: Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe

    === Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe. Kwaakili hii Mbowe na Wenje wameshashindwa huu Uchaguzi Kwa lugha nyepesi Heche na Lissu hawajapewa tuhuma yoyote hivyo ni watu safi wachaguliwe.
  5. Waufukweni

    LGE2024 Tundu Lissu akataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA, "Mwambieni nikitaka maji nitayaomba, msimpige"

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara. Soma, Pia: MARA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Special...
Back
Top Bottom