kampeni za ccm zanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    GE2025 Mwinyi aahidi kutoa hati za mashamba ya karafuu kwa wananchi endapo atakuwa Rais

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema uamuzi wa Serikali kutoa hati za mashamba ya karafuu kwa wananchi ni sehemu ya mkakati maalum wa kuhakikisha zao hilo linaendelea kuwa nguzo kuu ya uchumi wa Zanzibar. Amesema Serikali imefanya tathmini ya kina kubaini njia bora ya kuwakabidhi...
  2. Mafyangula

    GE2025 Mwinyi: Serikali imejipanga kuendelea kuimarisha miundombinu na ustawi wa wananchi wa Unguja na Pemba

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali imejipanga kuendelea kuimarisha miundombinu na ustawi wa wananchi wa Unguja na Pemba, kwa misingi ya umoja...
  3. Mafyangula

    GE2025 Hemed: Kijana yeyote atakayetoka jimbo la Kiwani, atakapokwenda kusoma kokote duniani, tutamfuatilia

    Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Kiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema ataendelea kusimamia kwa karibu maendeleo ya vijana wa jimbo hilo, hasa katika...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dkt. Mwinyi: Sera mama katika awamu ijayo ya uongozi itakuwa ni kutengeneza ajira kwa vijana

    Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema serikali yake itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara, shule, viwanja vya michezo na kuboresha sekta ya afya endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kwa...
Back
Top Bottom