kampeni za ccm lindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    GE2025 Aibu, mgombea ubunge wa CHAUMMA apiga magoti kwa Samia akiomba kupokelewa CCM, Maana yake CCM itapita bila kupingwa kwenye jimbo husika?

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 25, 2025 mkani Lindi ameonekana mgombea ubunge wa Chama cha Ukombozi wa Umma (#CHAUMMA) akipiga magoti mbele ya mkutano huo akiomba kurejea CCM na kupokelewa kama mwanachama mpya. Swali la kujiuliza ni je, kwahiyo CHAUMMA...
  2. tonicimmobility

    GE2025 Baruani CHADEMA: Mama Samia watu wa Lindi wana mimba ya mradi mkubwa wa gesi

    Aliyewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Baruani amesema watu wa Lindi wana mimba ya mradi wa gesi ambayo inamsubiria Samia aje aizalishe mimba hiyo. Ameyasema hayo leo septemba 25, 2025 katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea katika mkoa wa...
  3. tonicimmobility

    GE2025 Samia: Wengine wanasema wataleta maji kwani walikuwa wapi siku zote kuleta maji?

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Lindi, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Mchimba ameonekana akiwasema ahadi za vyama pinzani ni za maigizo bali za CCM ndizo za kweli na halisi. Soma pia: Mradi wa maji...
  4. tonicimmobility

    GE2025 Je, Samia anafurahishwa na hali ya wamama kujigalagaza kwenye mavumbi?

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 jimbo la Ruangwa MKoani Lindi, Mgombea urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan ameonekana akiwashukuru wamama na vijana wa hamasa wakiwa wanajigalagaza chini kwa ujio wake. Hiki kitendo kinatafsiriwa kama wananchi...
Back
Top Bottom