kampeni meneja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Nani kampeni meneja wa Samia?

    Naomba kujua kampeni meneja wa Mama ni nani?
  2. K

    PreGE2025 Kama ningekuwa kampeni meneja wa mgombea wa CCM ningehakikisha USHINDI wa asilimia 90+

    Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu: 1. CCM Ina wagombea wenye...
  3. chiembe

    PreGE2025 Kwanini Dkt. Slaa, Msigwa wanatajwa kuwa kampeni Meneja wa Lissu? Mbona juzi tu waliitwa wasaliti?

    Dkt. Slaa ni mwana CCM, aliwasambaratisha chadema kwa kuwakimbia wakati UKAWA wakikaribia sana kuikamata nchi. Slaa akapelekwa hotelini Rwanda akapewa mabinti wa kihima, baadae ubalozi. Leo Dk Slaa ndio kampeninmeneja wa Lissu na Mtunza fedha. Anashinda mitandaoni na genge lake ambalo linalipwa...
  4. N

    John Marwa: Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vijana wa CHADEMA haijachukua hatua yoyote?

    Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri, Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
  5. Gabeji

    PreGE2025 Kampeni meneja wa Rais 2025 awe Humphrey Polepole, Luhaga Mpina, prof. Kitila Mkumbwa na Ally Bashiru

    Rais nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Pole na heka heka za NYERERE day, huku mwenge, pamoja na kufanyia kazi mafaili mbalilimbali yanakuwepo kila siku juu ya meza Yako. Hakika Mungu akutie nguvu na akuponye na kikohozi pamoja na mafua yaliyokutinga jana pale mwanza, bila...
  6. L

    PreGE2025 Mngependa nani awe Kampeni Meneja wa Rais Samia hapo mwakani?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kuwa Mwakani ni uchaguzi Mkuu wa udiwani ,ubunge na Urais. Na kwa kuwa Fomu ni moja tu ya Urais ndani ya CCM kwa ajili na maalumu kwa Mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,na kwa kuwa ndio chaguo la mamilioni ya...
Back
Top Bottom