Kusanya ushahidi kwa kupiga picha na kuredi video za kamera hizo ulizogundua, andika muda, tarehe na eneo ulipogundua kamera hizo.
Funika kamera kwa tepe, karatasi au kitambaa bila kushika kamera hiyo ili usiache alama zako za vidole "Fingerprints" wala usiichomoe.
Ondoka eneo hilo ili...
Vifaa vya umeme kama simu, vifaa vya alarm na smoke detectors, pamoja na Chaji ya simu (USB) kwa sababu camera hizo sa siri huwa zinahitaji kuwa na chaji mara kwa mara.
Vioo hasa vinavyoruhusu mtu kuona upande wa pili ( Two way Mirror), mapambo kama vile fremu za picha, kitasa, saa za ukutani...
Sasa hivi ukiingia mitandao ya ngono hasa XVideo unakutana na filamu za ngono zilizochukuliwa kisiri na hidden Camera.
Ni jana tu hapo jirani Kenya mrusi kaeneza video za wanawake aliokuwa akiwatongoza kisiri na kuleta aibu kwenye jamii.
Chukua tahadhari sasa hivi. Nunua kifaa kinacho detect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.