kamati kuu chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kamati kuu chadema yaahirisha kikao baada ya katibu mkuu kujiuzulu

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeahirisha kikao chake kilichokuwa kimepangwa kufanyika, kufuatia taarifa ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu John John Mnyika. Hatua hiyo imekuja wakati chama hicho kikikabiliwa na mabadiliko ndani ya uongozi wake, huku...
  2. JamiiForums Tanzania Mchange: Mnyika amepotosha, Kamati Kuu haikumhoji Heche kuhusu suala la 'ToneTone' bali tuhuma za ubadhirifu wa fedha za wadau

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Habibu Mchange amesema Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amepotosha, Kamati Kuu haikumhoji Heche kuhusu suala la 'ToneTone' bali tuhuma za ubadhirifu wa fedha za wadau. Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
  3. JamiiForums Tanzania Hizi tetesi kuwa wajumbe wa Kamati kuu Chadema wamehongwa ili kukisariti chama na kumeuka Heche na Lissu zina ukweli?

    Tetesi zimezagaa mitaani kuwa wapo wajumbe wa kamati kuu ya Cdm wamekula mlungula ili kumsaliti Lissu na Heche. Hii yote wanatala Chadema imeguke na msimamo wa Lissu na Heche uyeyuke Kama.ni kweli hatufiki mbali.
  4. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu Chadema kujadili matukio ya Oktoba 29

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo leo Jumanne...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Wengi Kamati Kuu CHADEMA walipinga 'No Reforms No Election'

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi wamekihama chama hicho.
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: Mbowe anawajibu wa kuzungumza na hatakiwa kuukwepa kabisa, Watanzania wanamshangaa!

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.
  7. JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA ni batili kukaimisha ni batili na waliokaimishwa ni batili

    Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa CHADEMA uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi, Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Heche aongoza kikao cha Kamati Kuu CHADEMA. Wajadili barua ya Msajili

    Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaitisha Kikao cha Kamati Kuu Mei 21, Baraza Kuu lanukia

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam Jumatano Mei 21, 2025. Kikao hicho kimeitishwa kipindi ambacho chama hicho kinapitia misukosuko ikiwemo ya mwenyekiti wake, Tundu Lissu kuwa gerezani akikabiliwa na kesi mbili ya uhaini na ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA iliyoongozwa na Tundu Lissu, yateua Wakurugenzi wapya

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana katika kikao chake maalum cha siku mbili kuanzia juzi tarehe 11 mpaka 12 Machi 2025 ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu imefanya uteuzi wa Wakurugenzi kwa mujibu wa ibara ya 7.7.16 (b) na Wataalamu mbalimbali wa Makao Makuu...
  11. JamiiForums Tanzania Ezekiah Wenje ahudhuria mkutano wa kamati kuu CHADEMA

    Wakuu, Baada ya kupita Mkutano Mkuu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Victoria Ezekia Wenje amekuwa sio wa kuonekana kwenye matukio ya chama jambo ambalo lilileta maswali mengi mtandaoni na vijiwe vya kisiasa kila mmoja akisema lake. Hatimae jana Machi...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

    Wakuu Baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, kudai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika jioni ya leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff, sasa maandalizi ya Mkutano huo Mkubwa wa chama hicho yanaendelea Makao Makuu, Mikocheni...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua ya malalamiko kuhusu Uteuzi wa viongozi watendaji na wajumbe wa kamati kuu CHADEMA imewafikia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema barua ya malalamiko kuhusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyowasilishwa katika ofisi hiyo na kada wa chama hicho, imewafikia. Kanda huyo Lembrus Mchome, mjumbe wa Baraza...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA, Mayemba: Viongozi wa Dini kemeeni dhambi zote ikiwemo Ufisadi

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Rose Mayemba ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kutokuwa waoga na kukemea dhambi zote ikiwemo ufisadi bila kujali imefanywa nani. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA ina wajumbe wangapi? Wa Lissu na Wa Mbowe wangapi?

    Nimeuliza ili swali nipime utendaji kazi wa Lissu utakuwaje. Pia apart from idadi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama. Je, kamati kuu ina nguvu gani kwenye chama? Naomba nifamishwe maana nilimsikia kwa Kikeke TAL anasema kuhusu reconciliation ameambiwa afanye hivyo na atafanya ila yeye anaamini...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu afunguka kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu, asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais, wala mtu kutoka CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM. Soma...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Mzee Freeman Mbowe atakuwa Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema Kwa mujibu wa Katiba yetu!

    Mh Tundu Lisu amesema Mzee Mbowe kuanzia tarehe 22 January 2025 Siku ya Jumatano atakuwa ni Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema Hiyo ni Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kwa Wenyeviti wastaafu na atakuwa YEYE na Mzee Mtei Star tv Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe: Niliona John Heche anapotea kisiasa, nikamteua Mjumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema aliamua kumteua John Heche kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho ili kumuepusha na hatari ya kupotea kwenye siasa za juu za chama. Mbowe aemetoa kauli hiyo jana, Januari 17, 2025, wakati wa mahojiano maalum na wahariri na waandishi wa habari...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo Lema na Lissu wanataka arudishwe kamati kuu

    Wakuu, Wenje amesema kuwa Dkt Slaa kupitia kitabu chake cha "Nyuma Ya Pazia" alisema kuwa CHADEMA ni chama cha kigaidi hivyo kuleta uezekano wa chama hicho kufutwa na msajili wa vyama kwa tuhuma za ugaidi. Wenje amesema kuwa inakuwaje Lissu na Lema wanataka kumrudisha mtu kama Dkt Slaa kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

    Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…