kamati kuu ccm taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

    Wakuu! Baada ya ahirisha ahirisha sasa ndio muda wenyewe wa kujua mbivu na mbichi huko CCM Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya...
  2. Mindyou

    PreGE2025 CCM Morogoro waonyana tabia ya makada kuanza kampeni kabla ya muda elekezi. Mjumbe wa kamati kuu atoa neno

    Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Morogoro kimewataka wanachama wa chama hicho pamoja na watia nia katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu kuacha kujishughulisha na kampeni za uchonganishi ambazo tayari baadhi ya watu wamedaiwa kuanza kupita mtaani kuomba kura badala yake...
Back
Top Bottom