kale

Kale (), or leaf cabbage, belongs to a group of cabbage (Brassica oleracea) cultivars grown for their edible leaves, although some are used as ornamentals. Kale plants have green or purple leaves, and the central leaves do not form a head (as with headed cabbage). Kales are considered to be closer to wild cabbage than most of the many domesticated forms of Brassica oleracea.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Hidaya wa Pepe Kalle afariki dunia jijini Arusha

    Mwanamama maarufu na mrembo Hidaya Khamis Mtumwa almaarufu Hidaya wa Pepe Kalle amefariki Dunia leo asubuhi jijini Arusha, msiba upo nyumbani kwake Kaloleni. Hidaya alitamba miaka ya mwanzoni mwa 90 baada ya mkongwe wa mziki wa Rhumba Marehemu Pepe Kalle kumtungia wimbo wa kumsifia. Marehemu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kale, tukumbuke enzi zile, huku vijana wa sasa wakijifunza

    Maisha yanachangamoto nyingi sana. Mara nyingine unaweza kuona dunia haikutendei haki na hata uanweza kukata tamaa. Lakini ukiangalia mapito ya waliotutangulia, unaelewa kuwa maisha ni safari tena isiyonyooka. Kikubwa ninachojifunza mimi ni kwamba, anzia unapoanzia, safari yako ikifikia mwisho...
  3. JamiiForums Tanzania Wako wapi wa kale

    Habari wadau wa JF NAWAULIZIA MALEGENDARY JAMANI Nawasaka wale wenzangu na mm tuliokuwa tukileta mada hapa naona kuko kimya sana wako wapi wa le wa kale jamani akina Mtambuzi , KakaKiiza , snowhite , @Jfsonwin, CharmingLady , Passion Lady , Watu8 , Lady doctor, Khantwe [huyu yupo kidogo]...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…