jumuiya ya wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Keisha atupwa nje ubunge viti maalum Jumuiya ya wazazi

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, wamewachagua Najma Murtaza Giga (kutoka Zanzibar) na Dkt. Catherine Joakim (kutoka Tanzania Bara) kuwa wawakilishi wa Jumuiya hiyo katika nafasi za Ubunge wa Viti Maalum. Katika uchaguzi huo, aliyekuwa Mbunge...
  2. Just Pray

    TANZIA Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Masasi, Edwin Kasembe afariki dunia ghafla katika nyumba yake

    Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Masasi, Ndugu Edwin Stevin Kasembe, ameaga dunia ghafla katika nyumba yake, mtaa wa Masasi Mbovu, Masasi Mjini. Kasembe, ambaye pia aliwahi kuwa Diwani mstaafu wa Kata ya Namwanga, amefariki akiwa nyumbani kwake, na kifo chake kimeacha simanzi...
  3. Just Pray

    Mwenyekiti Jumuiya ya wazazi CCM Ileje adaiwa kuuawa

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana. Mwenyekiti wa kijiji, hicho Joseph Mwashitete amesema tukio hilo lilitokea jana Jumatano Machi 12...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jumuiya ya wazazi CCM Njombe yawanoa Mavanga sec juu ya maadili

    Naona sasa wamendelea kutia nguvu katika harakati zao za kampeni mpaka mashuleni sasa si ndiyo? ================== Tabia za wazazi Wengi kushindwa kuwalea watoto katika malezi yenye maadili mema imetajwa kuendelea kuliingiza Taifa kwenye misukosuko na mmomonyoko wa maadili kwa watoto wanaoweza...
  5. Stephano Mgendanyi

    Jumuiya ya Wazazi (CCM) Siha Imeadhimisha Wiki ya Wazazi kwa Kupanda Miti 100 Shule ya Msingi Mendai

    JUMUIYA YA WAZAZI SIHA IMEADHIMISHA WIKI YA WAZAZI KWA KUPANDA MITI ZAIDI YA 100 SHULE YA MSINGI MENDAI Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro imeadhimisha wiki ya Wazazi Wilaya ya Siha kwa kupanda miti zaidi ya 100 katika shule ya msingi ya Serikali...
Back
Top Bottom