jumanne muliro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watatu wakamatwa kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu mbalimbali katika maeneo ya daraja la Selandar eneo la mikoko

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu mbalimbali katika maeneo ya daraja la selandar eneo la mikoko. Akiongea na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, amesema...
  2. Kamanda Muliro: Maandamano yakifanyika hayajifichi, huwezi kuwa mtu mmoja unatembea ukasema nimefanya maandamano

    Maandamano yakifanyika hayajifichi, huwezi kuwa mtu mmoja unatembea ukasema nimefanya maandamano, nadhani hata kwenye kamusi ukitafuta neno maandamano unaweza ukaelewa maana yake ni nini, usalama uliimarishwa kiwango ambacho kiliruhusu watu kufanya shughuli zao. "Tulimjibu mhusika na tukampa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…