Mchimbaji wa madini mkoa wa Geita Jumanne Misungwi amechukua fomu ya kuomba kugombea Udiwani katika Kata ya Ludete iliyoko Halmashauri ya Mji mdogo wa Katoro Wilaya ya Geita.
Amechukua fomu hiyo leo Juni 28, 2025 katika ofisi za Kata hiyo ambayo amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kata hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.