Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limetoa wito kwa Jeshi la Polisi nchini kuchunguza kwa haraka na kwa makini taarifa za kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey polepole
โ
โWito wa jukwaa hilo umetolewa Oktoba 7, 2025 na Mwenyekiti wake Deodatus Balile kupitia taarifa...
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenze ambaye ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, pia ni mhariri na mwanachama wa Jukwaa la Wahariri, TEF, niko hapa ukumbi wa Bombambili Songea, mkoani Ruvuma, kuwaletea live ya Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF...
Mwanahabari Absalom Kibanda
TAARIFA ZA AWALI
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya New Habari wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Dimba, Bingwa na Dimba, Absalom Kibanda amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa ndani ya gari lake wakati...