Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza namna mawakili wananyanyaswa na vyombo vya dola wakati wanajitoa bure kutetea wananchi.
Mwabukusi amerejelea sakata la wakili kupigwa ndani ya mahakama na kifo cha...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) kimetoa taarifa rasmi leo tarehe 30 Juni 2025 kuhusu tukio la kuuawa kwa mmoja wa wanachama wake, Wakili Joseph Masanja (Roll No. 7664), lililotokea tarehe 23 Desemba 2024 katika bwalo la Jeshi la Magereza, Babati – Manyara.
PIA...
Wakuu,
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa mwanachama wake Wakili Joseph Masanja lililotokea Babati Mkoani Manyara.
Kupitia taarifa iliyotolewa na chama hicho Disemba 28, 2024 imeeleza kuwa mwili wa marehemu Wakili Masanja uliokotwa eneo la Bwalo...