john pombe magufuli

John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020. He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease. His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lala pema Peponi John Pombe Magufuli Leo wamefungua mradi ulioanzisha bila kukutaja kama Icon wa mradi huo.

    Ni maajabu mradi ulioanzishwa na marehemu JPM kwa utashi wake Leo miaka mitano baada ya yeye kufariki unafunguliwa bila kumtambua kama kinara wa mabadiliko haya tunayoyaona. R.I.P watanzania bado tunakukumbuka.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

    Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Msiseme mimi ni zaidi ya Magufuli, mnawatisha Watu!

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu Wananchi kusema yeye ni zaidi ya Hayati Magufuli kwani inawatisha watu "...Yule dada anasema huyu ni zaidi ya Magufuli. Usiwatishe watu bwana, maana hivi tu wana..... Ametoa kauli hiyo Juni 5, 2026 wakati anazungumza na wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa.
  4. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA

    Leo, Machi 17, 2025, imetimia miaka 5 tangu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Vipi Mdau, unamkumbuka Hayati Magufuli kwa lipi? Maneno mazito ya Hayati Magufuli ambayo bado yanaishi kwenye vichwa vya Watanzania walio wengi, alitoa kauli hiyo Machi 16, 2020...
  5. JamiiForums Tanzania Barua kwa John Pombe Magufuli

    JohPombe Magufuli Jiwe, Nikiri. Najua hutasoma barua hii. Najua wafuasi wako wataisoma. Naandika kwa hasira na uchungu. Yote ni kutokana na uliyotufanyia. Uliachia maumivu. Wapo wanaoumia tokana na pengo uliloacha. Pia, wapo wanaoumia kwa sababu ya ubaya ulioacha. Bwana John, ni...
  6. JamiiForums Tanzania Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba: Alipoondoka Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli nchi ilijawa hofu Rais Samia ameondoa hofu

    Unamkataa Samia unataka umlete yupi? ni mwanamke wa kwanza kuongoza nchi yetu, alipoondoka Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli nchi ilijawa hofu...sasa hofu imeisha hana hatia..mnaanza umbeya na uongo, Mungu wa Mbinguni awarehemu" amesema Kiliba
  8. JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  10. D

    JamiiForums Tanzania R.I.P John pombe Magufuli shujaa wangu mda wote

    Naandika kwa uchungu sana kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 Magufuli alifanya mambo ya kutisha sana tena sana mafisadi na matapeli walimchukia na kumthihaki .. Inasemakana mzee wa kusini ambaye tayari alishatangulia mbele za haki ndo alimchagua kuwa mgombea .. kuna kipindi alituita malofa ila...
  11. JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya rais Samia na Dkt. John Pombe Magufuli?

    Huwa nasikia watu wakijifanya kummiss jiwe Dkt John Pombe Magufuli na kusahau kuwa wakati wake ulipita kitambo. Kwa wanaomjua vizuri, hakuna haja ya kummiss kwa vile tunaye mheshimiwa rais daktari profesa SSH mrithi wake mpendwa na kipenzi cha wanyonge. Hivyo, badala ya kupoteza muda na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli: Wadogo zetu wanalipiwa ada ya chuo na Rais Samia

    Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao. Ameeleza kuwa bado anaendeleza matibabu ya bibi yao ambaye amekuwa akiugua hata kabla John Magufuli hajafariki. Aidha wadogo zao waliokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Magufuli: Nami Niseme Mambo Sita na Danis Mpagaze

    Kumbukizi ya Magufuli: Nami Niseme Mambo Sita! Denis Mpagaze _________________________ Ni mwaka wa nne sasa Mzee John Pombe Magufuli amelala! Namisi sana ziara zake, hotuba zake, utani wake, ukali wake, Kiswahili chake na ucheshi wake! Magufuli aliongozwa na mambo sita! Nimeyaita Umagufuli...
  14. JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli: Katika safari yake ya uongozi Magufuli alijifunza kwa Hayati Nyerere, Mkapa na Ally Hassan Mwinyi. lipo lakujifunza hapa

    Katika kumbukizi ya Miaka minne ya kifo cha Magufuli yaliyoazimishwa Wilayani chato, Binti wa HAYATI Magufuli, Jesca alihutubia mamia ya wanacchi waliohudhuria katika Ibada hiyo. Moja ya sehemu ya hotuba yake nanukuu "katika safari yake ya uongozi ALIJIFUNZA toka kwa viongozi waliomtangulia...
  15. JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani John Pombe Magufuli uliyoyafanya ndio yameanza kufanyika Marekani 2025

    Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako. Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma. Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka minne bila Magufuli; Inadequate Power Supply would be history (Umeme usiotosheleza utakuwa historia)

    Akiwa jijini Mwanza,Hayati Rais Daktari John Pombe Joseph Magufuli alisema umeme usiotosheleza Tanzania nzima utakuwa historia,aliyasema hayo wakati akifungua kiwanda cha Victoria Moulders Factory,jumanne ya October 31,2017.Akiwa Muleba,Mwaka 2018 alisema umeme wa Muleba tunauchukua Uganda ila...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ibada ya shukrani kumbukizi ya Hayati John Magufuli kufanyika Jumatatu, Machi 17, 2025 Kanisa Katoliki Chato

    Wadau hamjamboni nyote?
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Mtanikumbuka, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

    Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele. John Pombe Joseph Magufuli tutakukumbuka kama mtetezi wa watu wa hali ya chini kabisa. Rip. Nawasalimu kwa jina...
  19. JamiiForums Tanzania Tukumbuke kidogo hekima za Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Pombe Magufuli

  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Lissu alimuita John Magufuli Rais wa ajabu, anaujua uajabu wake!

    Wakuu Mzee Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara akiwa Clouds FM leo Februari 13, amesema; "Tume ya uchaguzi ya Mwaka 2015 iliyowapa wabunge wengi wapinzani ni tume hiyo hiyo ya Mwaka 2020 na wao wanasema mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mbaya na wao walikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…