Utangulizi:
Huyu dada ni mke wa mtu na ni jirani yangu pale nyumbani ninapoishi. Ni zaidi ya miezi 9 sasa toka nimehamia mtaa ule, ila kwa kipindi chote hiki sijawahi kuwa na mazoea na huyu mwanamke. Huwa ni mwendo wa salamu tu halafu kila mtu anachukua 50 zake. Sina uhakika kama ananijua jina...