Msanii wa maigizo Jimmy Mafufu amesema ushiriki wa wasanii katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu haukuwa kosa, akibainisha kuwa walitumia haki yao ya kikatiba, hivyo hawana sababu yoyote ya kuomba radhi kwa yeyote.
Kauli hiyo ya Mafufu imekuja wakati ambapo mjadala mkali unaendelea...