jimboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Agnesta Kaiza: Jimboni kwangu Segerea, mvua zikinyesha barabara nyingi hazipitiki

    https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...
  2. Jimboni kwa Aweso: KIGURUSIMBA Kuna vita kati ya wafugaji na wakulima

    Mwenye taarifa nzuri ya Nini kinaendelea Tanga-kigurusimba, jimboni kwa Aweso atujuze. Nimepata taarifa tangu Jana usiku Kuna mapigano makali kati ya wafugaji na wakulima. Vita ya mikuki, mapanga na mishale. Taarifa zinasema Ofisi ya mtendaji na mwenyekiti imefungwa na vijana wenye hasira kali...
  3. PostGE2025 Mavunde agawa Kompyuta Mpakato 110 jimboni kwake

    Mbunge wa Jimbo la Mtumba mkoani Dodoma Mhe Anthony Mavunde leo ametimiza ahadi yake ya kugawa Photocopy Machines 20 kila kata,Kompyuta Mpakato (𝙇𝙖𝙥𝙩𝙤𝙥𝙨) 110 kwa Maafisa Elimu Kata,Walimu wakuu na Wakuu wa Shule zote za Msingi na Sekondari za Jimbo la Mtumba. Mhe Mavunde amesema dhamira kuu ya...
  4. Kama Jimbo la Kawe halina maji ya Uhakika, hali ikoje huko jimboni Itilima?

    Jimbo la Kawe ndio Jimbo mama, Jimbo konki lenye vibopa kuliko Jimbo lolote la uchaguzi hapa nchini. Jimbo la Kawe ndio Lina Oyster Bay, Masaki, Msasani Peninsula, Mikocheni, Kawe Beach, Mbezi Beach, Kunduchi Beach, Bahari Beach, Ununio Beach, Boko Beach, Mbweni, nk. Huku ndio kwenye makazi ya...
  5. Kampení za Kumrithi Job NDUGAI zinahitimishwa Leo Jimboni Kongwa

    KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia nia kuhitimisha kwa kata 11 zilizobaki na kesho Ijumapili ndiyo siku rasmi ya kujua nani atarithi...
  6. Msauni aeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM jimbo la Kikwajuni

    Waziri wa kuwa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar, Hamad Yusuf Masauni ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano (2020- 2025) katika jimbo hilo akiwashukuru wapiga kura wake.
  7. Ndugai alikaa miaka 25 Bungeni ila barabara za Jimboni kwake zilimshinda

    Kiufupi Ndugai hajaacha Legacy yoyote . Miaka 25 Bungeni , miaka saba Kama Speaker wa Bunge Ila hakuna alichoacha kwao Kongwa . TAIFA halina cha kujivunia . Naipa pole familia yake. Pia soma >> TANZIA - Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
  8. GE2025 Video: Wananchi wambeba juu juu Kigwangala alipofika jimboni kwake. Hizi kama sio drama ni nini?

    Wakuu, Hivi ni lini sasa wanasiasa wa Kibongo watafahamu kwamba hizi drama zao tunazijua na kwamba zimeshapitwa na wakati Mimi binafsi sijawahi kuona nchi zilizoendelea kama Marekani mwanasiasa anabebwa kama hivi. Kwanini hizi drama za wanasiasa kutaka kuonekana wanapendwa zinakuwa huku kwa...
  9. K

    GE2025 Kazi za Lukuvi Jimboni zambeba Wananchi wa Ismani, wasema "Wanatiki Kwa William Lukuvi ”

    Wananchi wa Jimbo la Ismani mkoani Iringa wameonesha wazi imani yao kwa aliyekuwa mbunge wao kwa miaka kadhaa, William Vangimembe Lukuvi, wakisema kuwa licha ya kuwepo kwa wagombea wengine waliopitishwa katika mchakato wa kura za maoni, bado chaguo lao linaelekea kwa Lukuvi kutokana na kazi...
  10. L

    GE2025 PICHA: Ridhiwan Kikwete Apokelewa Kifalme na Wajumbe Jimboni Chalinze

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja...
  11. Msafara wa chief Godlove kwenda jimboni kyela

    Na siku hizi kahisi anaweza kuupata ubunge kwa zali basi katulia tulia maneno ya kiburi kapunguza sana hapo yupo na watu wake wanaomsapoti wanaenda kuvimba kidogo nyumbani aisee wenye nacho wataongezewa.
  12. Video: Nyomi ya watu kwenye mkutano wa Tulia jimboni Uyole

    Kumeanza kuchangamka. Hapo ni Nsalaga jimbo jipya la Uyole.
  13. Jimboni kinondoni: Shule ya Mtambani wanafunzi wanakaa chini

    Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani iliyopo Bunju - Kinondoni jijini Dar es Salaam kumesababisha baadhi ya wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa sakafuni, jambo linalowakosesha utulivu. Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani jijini Dar es Salaam imefanya...
  14. PreGE2025 Yani bado kwa Karne hii Mbunge Babu Tale Anagwa Vitenge Vya CCM Jimboni Kwake, Hii ni kukosa Sera za Kushawishi Wananchi

    Wananchi Wahoji Kama Karne hii Bado Watu Wanaongwa Vitenge Na Khanga Tazama video hii wananchi wakipewe Vitenge huko jimboni na babu TALE
  15. Mbunge Erick shigongo:Grader limesafiri kwa miaka 4 kufika jimboni

    Naona sasa 2025 kila mtu wa ccm anaweza kuja na ukora wake. Huyu mbunge erick shigongo kwanza nilianza kumuona muongo na vitabu vyake kama kile cha raisi anamtaka mke wake. Sasa jimboni ana wadanganya kuwa greda lao limechukua miaka 4 kufika jimboni na lishafika kwa uchaguzi.
  16. M

    PreGE2025 Mbunge Mashimba Ndaki akabidhi Magari ya wagonjwa Malampaka na Mwabayanda jimboni mwake

    Makabidhiano ya magari hayo yamefanyika kwa nyakati tofauti tofauti katika vituo hivyo yamefanywa na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo,mbunge Ndaki amewataka wananchi na waganga wafawidhi wa vituo hivyo kuyatunza magari hayo na kuyawekea...
  17. E

    Ana shida jimboni .... Afukuzwe CCM.... Aliahidi safari za Kawe/Japan... Hakuongea wakati wa Magu - Hoja ya mauaji bado haijajibiwa !!!

    Mzee Msuya - sio mimi nasema - Mzee Msuya mtu wao wa system kabla hajafa alisema watu wa CCM ni wadhaifu sana kwenye kujenga hoja. Bunge linasema: Mtu mwenyewe ana shida jimboni Afukuzwe CCM Aliahidi safari Kawe-Japan Kataja jina takatifu la mtoto wa Rais Angeweza kuyamaliza kwa ushauri wa...
  18. K

    PreGE2025 Mbunge Saashisha kuna hujuma dhidi yako na serikali jimboni kuhusu umeme wa REA kitongoji cha Mlimafaru

    Naomba msaada kwa anayeweza kupenyeza ujumbe huu kwa Mh.Mbunge Saashisha Mafue wa Jimbo la Hai na Serikali sikivu ya Ccm. Hivi karibuni Serikali ilianza zoezi la kusambaza nguzo za umeme wa Rea kwenye vitongoji kadhaa vya wilaya ya Hai. Kwenye kitongoji Cha MLIMAFARU kilichopo kijiji Cha...
  19. Video:-Mbunge hadi anafikia hatua ya kusema hivi bungeni ni kwamba huko jimboni kwakwe hakuna changamoto yoyote ile?

    Hata kama pengine bungeni kuna muda wa kuchekesha au kusema utumbo utumbo ndo useme hivi kweli ? Mwisho wa siku ulipwe posho ?
  20. Naona kama ni fedheha kwa msomi kukaa bungeni muhula mzima bila kuteuliwa waziri japo sio lazima wala muhimu na jimboni pakiwa pakavu tu hakuna kitu

    Yaani watu wa kawaida tu bungeni wanafanya kazi nzuri kwenye majimbo yao, wanafanya kazi nzuri wanapopewa dhamani serikali kuu, wanahamishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, huku wasomi na ubobevu wao wakishindwa hata kua na ushawishi wa kua wenyevikiti wa kamati za bunge, na jimboni pake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…