jimbo la tarime

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    GE2025 CCM ipende isipende, jimbo la Tarime Mjini linaenda upinzani

    Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini...
  2. W

    GE2025 Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara

    Wakati zoezi la uchukuaji wa fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa makada wa Chama cha Mapinduzi likifika siku ya pili Kada wa Chama cha Mapinduzi Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu katika Ofsi za...
  3. DuaZaMama

    Matiko atimkia CCM, achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Tarime mjini

    Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko leo Jumapili Juni 29, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Endapo atafanikiwa kupitishwa na CCM na kufanikiwa kushinda uchaguzi, hii itakuwa ni mara ya pili kuongoza jimbo hilo...
  4. K

    PreGE2025 Ninachokiona kwenye jimbo la Tarime vijijini, Mwita Waitara anza kufunga virago

    Ninachowakubalia Wakurya ni wananchi wasema ukweli ni wawazi. Hakuna kabila lenye upendo kama Wakurya na wachache tunawaelewa vibaya. Ni wananchi waungwana sana. Ninachokiona kwenye Jimbo la Tarime Vijijini ni vema Mhe. Waitara anze kufunga virago. Wamemueleza waziwazi mbele yake kuwa...
Back
Top Bottom