jimbo la tanga mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Ummy Mwalimu adondokea pua jimbo la Tanga Mjini, nafasi yake yachukuliwa Kassim Baraka

    Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
  2. DuaZaMama

    GE2025 Ummy Mwalimu arejea kuomba ridhaa ya ubunge Jimbo la Tanga mjini

    Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu amechukua fomu leo June 30,2025 ya kuomba kutetea Ubunge katika Jimbo la Tanga Mjini. Ummy ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Afya amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Tanga na amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tanga, Jamal...
  3. Mindyou

    PreGE2025 Mbunge Ummy Mwalimu achangia kiasi cha Tshs Milioni 10 kwa bodaboda wa Tanga Mjini ili "kutunisha" mfuko wao

    Wanabodi, Wanasiasa wameanza rasmi masuala ya kuomba kura lakini this time wanafanya indirectly. Ummy anajua nguvu ya bodaboda katika ushawishi kwa hiyo ameamua kuchagna karata zake vizuri. ================================================================ Mbunge wa Jimbo la Tanga Mhe Ummy...
Back
Top Bottom