Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010.
Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa...
Habari wakuu,
Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha kesho hiyohiyo.
Kama mwanachama mwenzenu dua zenu muhimu sana.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.
"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa...
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa ameshuhudia wanachama 24 wa vyama vya CUF na ACT-Wazalendo wakirejea CCM ndani ya siku mbili.
Majaliwa alishuhudia wanachama hao wakikabidhi kadi zao kwa Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ruangwa, Bw. Abbas Mkwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.