jimbo la nyasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 John Nchimbi aongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa

    Aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi ameongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa baada ya kupata kura 9,157 kati ya kura 10,695 zilizopigwa akifuatiwa kwa mbali na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Stellah Manyanya aliyepata kura (548).
  2. PAYE

    GE2025 Mtoto wa Komba, Dkt. George Komba achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Nyasa kupitia CCM

    Dkt. Geogre John Komba ambaye ni mtoto wa Hayati Kapteni John Komba aliyekuwa mbunge wa jimbo la Nyasa na muimbaji na kiongozi wa bendi ya TOT ambayo inamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Nyasa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John Nchimbi, achukua fomu kuwania Ubunge wa Jimbo la Nyasa

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi, amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Nyasa. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Katika Bunge la 12, Jimbo la Nyasa lilikuwa linawakilishwa na Mhandisi Stella Manyanya.
  4. A

    Dr James Zotto anatosha Jimbo la NYASA (2025-2030)

    Msomi Nguli Dr James Zotto (PhD) anatosha kuwakilisha Wana Nyasa bungeni. Hivyo hima wajumbe msituangushe.
  5. Erythrocyte

    CHADEMA yaingia Jimbo la Nyasa

    Katibu wa CHADEMA kanda ya Kusini , Governor Kaduma na kikosi kaI chake wameendelea kusambaza elimu ya Katiba Mpya ndani ya kanda hiyo . Hapa ni jimbo la Nyasa , hili ni eneo ambalo miaka ya nyuma wakazi wake waliamini kwamba ukiondoka ccm unakufa , lakini baada ya Chadema kuendelea...
Back
Top Bottom