Kijana Amani Dimile amejitosa kuwania ubunge katika jimbo la Mvomero. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;
"Iwe ndio, iwe hapana kazi ya mpambanaji ni kusonga mbele bila kujali matokeo ✊🏽 ..
MVOMERO ARE YOU READY ✅✅"
Pia soma...
Mbunge anayemaliza Kipindi chake cha kwanza Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro Mhe. Jonas Van Zeeland leo Juni 30 .2025, amechukua fomu ya kuomba kuidhinishwa na Chama chake, Chama Cha Mapinduzi CCM, kuwa Mgombea wa Ubunge kwenye Jimbo la Mvomero, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi...
Aliyekuwa DC wilaya3 za Kigamboni, Hanang na Kibaha na mbunge wa viti maalumu kundi la vijana 2010-2015, Bi Sarah Msafiri amechukua leo jimbo la Mvomero akijinasibu kuwa Kasi ya Rais Samia inahitaji mbunge mwenye pumzi na kwamba yeye ndio mtu sahihi kwasasa jimbo la Mvomero kuelekea 2030
Soma...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba maarufu Mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.