Huko mkoani Kilimanjaro hali ya hewa imeanza kuchafuka mapemaa baada ya watu wasiojulikana kudaiwa kuvamia nyumbani kwa mgombea wa kiti cha ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya chama cha CHAUMA,Michael Kilawila na kuharibu gari la mke wake kwa kupasua kioo cha nyuma.
Tukio hilo...
Wajumbe katika Jimbo la Moshi Vijijini wametiki na nakumpitisha Morris Makoi nakupita katika kura za Maoni Jimbo la Moshi Vijijini wapi Prof. Ndakidemi?
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameshindwa kutetea nafasi yake ya Ubunge baada ya Moris Makoi kuibuka...
Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau kupitia tiketi ya CCM amesaidia kuwasaidia wananchi ambao hawapati pesa za Tasaf na badala yake wanapewa wasiostahili.
Chanzo: Kikeke Digital
Pia soma
~ Ruvuma: Mpango wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Songea una shida, kuna mazingira...
Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
Soma > Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.