Mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba kwa kupitia chama cha NCCR MAGEUZI Mhe Thomas Amas Mchiwa akiwa katika Mkutano wa kampeni kwa Wakazi wa Kotako Kata ya Mngeta leo tarehe 03/10/2025
Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk.Kellen-Rose Rwakatale amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba mkoani Morogoro.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Rwakatale amesema anayo dhamira ya dhati kulitumikia jimbo hilo la Mlimba kwani anazijua changamoto...
Msafara wa makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche leo tarehe 5, June 2025 ukiwa tayari umewasili katika jimbo la Mlimba tayari kwa mikutano ya hadhara.
Video Jambo TV
Godbless Lema kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X anaandika na kuweka video inayodaiwa kuwa wanafunzi wa kata ya Igama (Njombe au Morogoro) wameagizwa na Walimu wao kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyia November 27, 2024. Tazama video hapo Juu.
Post ya Lema hii...
Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi amesema baadhi ya Wakuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wamekuwa na vitendo vya kukamata Wananchi bila sababu ya msingi.
Ameeleza jambo hilo limetokea katika jimbo lake la Mlimba ambapo Mkuu wa Wilaya wa Kilombero tarehe 26 Agosti, 2024 Kata ya Mbingu kijiji cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.