jimbo la mchinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Salma Kikwete arahisishiwa Kazi Jimboni, Mgombea Ubunge CHAUMMA, Mchinga, Yusuph Tamba atimkia CCM

    Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Mchinga, mkoani Lindi, Yusuph Tamba, amejiunga rasmi leo, tarehe 25 Septemba 2025, na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia Chama hicho, Samia Suluhu Hassan, mkoani...
  2. GE2025 Salma Kikwete: Samia ameweka elimu bure mpaka kidato cha sita nani kama Samia?

    “Hakuna kitu muhimu kama Elimu, Mama Samia kwa kutambua hilo ametoa ada zote kuanzia ngazi ya awali mpaka kidato cha Sita, Nani kama Samia..?”
  3. R

    GE2025 Mkazi wa Mchinga: Tieni akili CCM hawana nia njema, Mbunge wenu Mama Salma anadharau ni akili gani kusema watu wa Mchinga wanamkubali

    Mkazi wa jimbo la Mchinga akerwa na ahadi alizotoa Mbunge wao nakudai anawaomba wananchi waamke maana Chama cha Mapinduzi kinawachezea akili
  4. R

    GE2025 Kikwete: Sitamzuia Mke wangu kufanya kazi ya Siasa

    Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani Lindi, kumpigia kura ili aendeleze alipoishia katika kipindi kilichopita. Salma amelitumikia jimbo...
  5. GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

    Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma. Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani. Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form. Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
  6. J

    GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

    Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
  7. DC Lindi Akamilisha Ziara Kata kwa Kata Jimbo la Mchinga kwa Kishindo

    _WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO _ Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Charles Mwanziva amehitimisha kwa kishindo ziara ya kikazi Kata kwa Kata katika kata zote za Jimbo la Mchinga- Lindi Manispaa ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Wilaya nzima ya Lindi katika majimbo matatu ya...
  8. R

    PreGE2025 Mbunge Jimbo la Mchinga Salma Kikwete anaemaliza muda wake amechukua fomu kuwania kwa mara nyingine

    Mbunge wa Jimbo la Mchinga Salma Rashid Kikwete amejitokeza kuchukua fomu kuwania tena kwa mara nyingine ubunge wa Jimbo la Mchinga Amechukua fomu hiyo mapema leo kwenye Ofisi za Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Mjini na kukabidhiwa na Mohamed Lawa ambaye ni Katibu wa CCM Wilaya hiyo
  9. Watu wa jimbo la Mchinga hii ni kweli?

    Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao. Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?
  10. PreGE2025 Jumuiya ya Wazazi CCM Jimbo la Mchinga yadaiwa kumchangia laki moja ya kuchuka fomu Mama Salma Kikwete kugombea Ubunge

    Jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi CCM Jimbo la Mchinga imemuunga mkono Mbunge wa Jimbo hilo mama Salma Rashid Kikwete kwa kumchangia Fedha kiasi cha shilingi laki moja zitakazomsaidia kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge muda utakapofika. Makabidhiano hayo yamefanyika Katika ofisi ya...
  11. PreGE2025 Salma Kikwete: Sitosahau nilipogombea Ubunge na kura zangu zikahesabiwa hadharani

    Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Mchinga na mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, amesema kuwa moja ya kumbukumbu asizoweza kusahau maishani mwake ni wakati wa kuhesabiwa kura hadharani alipogombea ubunge. Akizungumza leo Machi 5, 2025, katika kongamano la Maadhimisho ya Siku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…