jimbo la mbagala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Jamal Rwambow: Askari ana Haki kukataa Amri Kinyume cha Sheria, hata ikitoka kwa mkubwa wake

    Aliyekua Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Jamal Rwambow ambaye kwa sasa ni mgombea Ubunge kupitia ACT Wazalendo, Jimbo la Mbagala amesema, “askari yeyote anayo haki ya kukataa kufuata maelekezo ya mtu yeyote hata kama ni mkubwa wake kama maelekezo hayo ni kinyume cha sheria.”
  2. Just Pray

    PreGE2025 ‎Siaga Njega atia nia, ubunge jimbo la Mbagala

    Zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi za Ubunge limeanza rasmi ambapo leo June 28 watia nia kutoka sehemu mbali mbali katika Jiji la Dar es salaam wamejitokeza kuchukua fomu hizo. ‎ ‎ Siaga Njega ni mmoja kati ya watia nia wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbagala rasmi leo june 28...
  3. DR HAYA LAND

    GE2025 Meneja wa singeli Kandoro achukua fomu kugombea ubunge jimbo la Mbagala

    Naona sasa huu umekuwa utani Namshukuru Mwenyezi MUNGU ,Rasmi nimetia ya kugombea Nafasi ya Ubunge jimbo la MBAGALA !! Wana Mbagala mimi ni mwenenu naombeeni mnipokee kwa mikono miwili
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 DJ wa Diamond, RDJ ajitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala

    DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM. RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Chaurembo aitosa Mbagala, atangaza kugombea Ubunge jimbo jipya la Chamazi

    Mbunge wa Mbagala, Abdallah Chaurembo, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Chamazi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Chaurembo ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2025, wakati akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka...
Back
Top Bottom