Festo Richard Sanga ambaye anatetea nafasi yake amepata kura 4,104 akimshinda Dr.Toba Nguvila aliyepata kura 2,359 na kufuatia na mfanyabiashara Award Mpandilla aliyepata kura 946.Wengine ni Prof.Norman Sigalla 103 aliyepata kura na Selina Msigwa aliyepata 21.
Profesa Norman Sigalla King amerejesha Fomu za kugombea nafasi ya Ubunge jimbo la Makete kupitia CCM leo Julai 2, 2025. Prof. Norman ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo anakumbukwa na Wananchi wa Makete kutokana na kufanikisha ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Njombe - Makete.
Pia, miradi...
Aliyekuwa katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Toba Nguvila, amechukua fomu ya kutia nia kugombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Makete lililopo mkoani Njombe ameijaza na kuirudisha kwenye ofisi za chama hicho zilizopo wilayani Makete, huku akipongeza utaratibu uliopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.