jimbo la kongwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mtotofisi

    UPDATE ya Matokeo ya Kura ya Maoni Jimbo la Kongwa

    Matokeo ya awali katika kata 14, matokeo yanaonyesha Isaya Mngulumi anaongoza kwenye kata zote kati ya kata 22 za Wajumbe waliopiga kura siku ya Leo. Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alishika nafasi ya pili akitanguliwa na Hayati Ndugai. Hapa ni kata ya Kibaigwa
  2. tonicimmobility

    GE2025 Hersi atemwa tena ubunge Kongwa, 13 wapita

    Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said ameshindwa kupenya katika mchujo wa majina 13 ya wagombea ubunge Jimbo la Kongwa. Hersi ameungana na wagombea wengine 11 ambao majina yao yameshindwa kupenya katika mchakato huo, huku aliyeshika nafasi ya pili kwenye kura za maoni Agosti 4, 2025, Isaya...
  3. jamaikatz

    GE2025 Hers Said ajitokeza kugombea Jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM

    Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, amejiunga na zaidi ya wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma. Mchakato wa kutafuta mgombea mpya umetangazwa kurudiwa baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge na...
  4. tonicimmobility

    GE2025 Makada wanne wajitokeza kumrithi Ndugai

    Wagombea 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge mstaafu na Mbunge wa jimbo hilo, Hayati Job Ndugai. Tukio hilo limefanyika jana, Agosti 12, 2025. Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa...
Back
Top Bottom