Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule, Dougras Massaburi ameanza kazi kabla hajapata Ubunge akipiga marufuku Watendaji wa Mitaa kutoza pesa Bodaboda.
Massaburi amesema Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa vijana hivyo haina haja kuwatoza pesa Bodaboda.
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhandisi wa Mafuta na Petroli Fautine Matiku amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kivule lililopo Temeke jijini Dar Es Salaam.
Fomu hiyo ameichukua katika Ofisi ya CCM Ilala Dar Es Salaam
Naibu Meya wa Jiji la Ilala Dougras Didas Massaburi ambaye anahusishwa na kugombea Jimbo jipya la Kivule endapo litagawanywa Jimbo la Ukonga, amesema na yeye ameona taarifa hizo mitandaoni, lakini kwa sasa nguvu amezielekeza kwenye uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Soma...
Huku Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) ikipokea mapendekezo ya Kamati ya Wilaya Ilala (DCC) na kuridhia kuhusu kugawanywa kwa Jimbo la Ukonga na kuanzishwa kwa Jimbo jipya la Kivule, mchuano unatajwa kuwa utakuwa mkali wa Jimbo jipya la Kivule huku jina la Dougras Didas Masaburi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.