Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja na Mama Sports Promotion na Mkurugenzi wa Makunduchi Villa Mohamed Haji, leo Juni 29, 2025 amechukua fomu ya nafasi ya ubunge wa Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Wilaya ya Kigamboni, Mohamed...
Wakuu Jimbo la Kigamboni liko hot sana. Huyu hapa ni Gamariel Mboya naye achukua fomu kupitia CCM, ikumbukwe jimbo hilo lilikuwa chini ya Dkt. Faustin Ndugulile (Marehemu).
Mkurugenzi wa Twende Pamoja na Mama Sports Promotion na pia Mkurugenzi wa Makundichi Villah na mlezi wa Wanawake na Samia, Mohammed Haaj, amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni katika Ofisi ya ccm Wilaya ya kigamboni.
Rais wa shirikisho la sanaa za maonyesho Tanzania Dkt Cynthia Henjewele amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la kigamboni jijini Dar es Salaam kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
Katika kile kinachoonekana ‘mbio za kugombea lango lililo huru’, mwanasheria Godfrey Maduhu amejitokeza na kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025...
Jimbo la Kigamboni lililokuwa likishikiliwa na hayati, Dkt. Faustine Ndugulile limeanza kuwaniwa na watia nia wa Chama Cha Mapinduzi ambapo leo hii Juni 28, 2025 Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Dar es salaam kwa chama hicho, Abuubakari Ally (Boka) amejitokeza kuomba ridhaa hiyo.
Soma Pia...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Borondo Zacharia Chacha, amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kigamboni.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Chacha amesema hatua hiyo ni dhamira yake thabiti ya kulinda maslahi ya wananchi wa Kigamboni na kuleta mabadiliko chanya katika...
Luca Neghesti diwani wa kata ya Msasani amejipanga kulibeba mazima Jimbo la uchaguzi la Kigamboni ambalo kwa sasa liko wazi baada aliyekuwa mbunge wa Jimbo Hilo ndugu Faustine Ndungulile kufariki dunia.
Minyukano ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), inayoendelea kupigania Jimbo la Kigamboni imeuibua uongozi wa Chama hicho unaodai haufurahishwi na vitendo hivyo huku ukiahidi kuwashughulikia iwapo hawata jirekebisha.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Tangu Dr. NDUGULILE afariki ni miezi sasa, kigamboni haina mbunge wala hakuna uchaguzi mdogo, tatizo nini?
Soma Pia: Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
Tume imesahau au wanasiasa wamesahau, au muda hauruhusu?
Wakili Mwanaisha Mndeme ambaye ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje ya ACT Wazalendo, na Waziri Kivuli Viwanda na Biashara wa chama hicho, leo tarehe 6 Februari 2025 ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Wakili...
Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB
Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Dkt. Faustin Ndugulile (55) ametangaza adhma kuachia ngazi nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kigamboni baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika.
Alitoa umauzi huo wa kuachana na kuwatumikia wapiga kura wake wa jimbo la Kigamboni leo jioni Septamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.