Leo team ya Mgombea wa ubunge jimbo la Geita mjini mwenye kashfa ya kufoji Vyeti na kugawa Rushwa hovyo inashangiliwa baada ya kuhakikishiwa jina lake kurudi kwenye majina yatakayo Rudi kuwaania ubunge jimbo la Geita mujini, kijana huyo ambae amepofusha baadhi ya wajumbe kwa Rushwa leo...
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Magembe Noni ambaye ni mzaliwa wa Geita, amechukua rasmi fomu ya kuwania uteuzi wa Chama chake kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Geita Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.