Bado hamjapitishwa mnaanza kununulia watu kahawa na kuacha posho! Hapo kwenye kijiwe cha kahawa!
Je, huu ni utaratibu?
Juzi alikuwepo yule jamaa aliyewahi kuwa Katibu wizara ya ngawila.
Jana alikuwepo aliyekuwa Mwandishi wa habari wa mzee baba.
Sasa kama mnaanza kampeni hata hamjapitishwa ...
CCM tumewachoka
Mmetengeneza jimbo jipyala Chato kusini kwa lengo la ajabu sana.
Iko hivi,kuna mgombea mmoja tajiri wa madini ya dhaabu Pascal Lutandura ambaye aliishia darasa la 4 B lakini ana pesa za kutosha ameandaliwa jimbo hilo.
Bwana Lutandula ni mjumbe wa NEC taifa,ana network na pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.