Wakuu, huu ndiyo msimu wa miujiza kila kitu kinawezekana! 😂
Eti sasa Mgombea Ubunge Abdallah Chaurembo, kageuka mwongoza mazoezi kwa vijana wa hamasa Chamazi. Kwanini haya mazoezi ya uzalendo hayafanyiki mara kwa mara kabla ya Uchaguzi?, ila muda wa kampeni ghafla tunaona?
Soma: Mbunge...
Mbunge wa Mbagala, Abdallah Chaurembo, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Chamazi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Chaurembo ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2025, wakati akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Husna Sungura, ameahidi kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi wa Jimbo la Chamanzi endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi ujao.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.