Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Semistatus Hussein Mashimba achukua fomu kuwania uteuzi wa kukiwakilisha chama cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025 katika Jimbo la Busega Mkoani Simiyu.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Mashimba...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na TPSF, Francis Nanai amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Busega mkoani Simiyu.
Nanai amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM wilaya ya Busega, Stephen Koyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.