jimbo la bumbuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    GE2025 January Makamba apokelewa kwa shangwe jimbo la Bumbuli, Tanga

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba leo Jumatatu ya Septemba 08, 2025 amepokelewa kwa shangwe na wananchi wa jimbo hilo baada ya kuwasili katika uzinduzi wa kampeni za udiwani kwenye Kata ya Mponde. Makamba ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  2. BigTall

    GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

    Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu. Inasemekana Baadae Saa 8...
  3. DodomaTZ

    PreGE2025 Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai amekuwa mtalii Jimboni

    Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba kujiuzulu nafasi hiyo kwani ameshindwa kutekeleza aliyowaahidi wakati wa kampeni. Wamesema, Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kura zote za Urais watampa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, lakini ubunge hawatampa January...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Bumbuli wamshukuru January Makamba, wahaidi kumchagua tena uchaguzi wa 2025

    Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemshukuru Mbunge wao, January Makamba, kwa juhudi zake za kutatua kero mbalimbali zinazowakabili, huku wakieleza kwamba watamchagua tena wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Wakizungumza wakati wa ziara ya Mbunge huyo ya kusikiliza...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge January Makamba atatua kero ya maji Kata ya Funta wilaya ya Bumbuli, Wananchi Wamshukuru

    Wananchi wa Kata ya Funta Halmashauri wilaya ya Bumbuli wamemshukuru Mbunge wa Jimbo hilo January Makamba kwa kutatua changamoto kubwa ya maji iliyokuwa ikiwakabili. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wananchi wa Bumbuli: Hakuna wa kumtoa Januari Makamba labda aache mwenyewe

    Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga, linaloongozwa na Mbunge Januari Makamba, wameeleza shukrani zao kwa Serikali kwa kuwafikishia miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia mbunge wao, ikiwemo huduma za umeme, maji, na ujenzi wa zahanati. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi hao...
  7. Intricate

    PreGE2025 Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama

    Wananchi wa Bumbuli mkoani Tanga wamechukizwa na tabia ya mbunge wao January Makamba kuwapa ma draft kwa ajili yakuchezea wakati barabara ni mbivu na huduma zingine nizashida sehemu hiyo.
Back
Top Bottom