Anawajaza upepo? au atafanya kweli? Ila kwa upande mwingine sina mashaka naye sana katika utendaji wake na kujitoa kwa namna fulani kwa wananchi
Tusubiri muda ufike tuone!
================
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda amesema kuwa...
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameteuliwa na Chama chake CCM kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Arusha Mjini kupeperusha bendera ya chama hichi kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Soma Pia: Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini
Sitaki kuamini hii naomba isiwe kweli .
Gambo huyu aliyekuwa anamnyanyasa Lema
Gambo huyu huyu mpakaji wa Majungu .
Gambo huyu huyu ambaye alizuia hosptali ya Mama na mtoto isijengwe Arusha.
Ahaaaaa!!!!!!
Najua hii habari ikiwa ni ya kweli basi bia zitaisha kwenye bar , maana watu...
Haya sasa kumeanza kuchangamka sasa! Makonda huyooo!, huku ni kimzoom kwa mbali Mrisho Gambo
=======================
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kupata matukio na...
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji.
Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
Jimbo la Arusha mjini limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Itapendeza kama litagawanywa. Hii ni kwa sababu ktk muda mfupi sana uliopita,kumekuwa na kuzaliwa kwa mitaa mipya mingi ambayo inahitaji uwakilishi bungeni. Mfano mzuri ni eneo naarufu la kwa Mrombo ambalo liko busy sana kiuchumi na lina...
Bado sijajua Kwanini Wanaccm wa Arusha Mjini wamekuwa Wajinga kiasi cha kutia aibu namna hii, Yaani Diwani mzima baada ya"kununuliwa"anamwaga chozi hadharani kumlilia mtu mgeni na ambaye tayari anacho cheo kingine ili agombee Ubunge!
Huu ni udhalilishaji wa Wana Arusha waliokipigania chama chao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.