jenister mhagama afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Magnifico

    Rais Samia kuwaongoza waombolezaji kuaga Mwili wa Jenista Joakim Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuwaongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Jenista Joakim Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho. Tarehe: 13.12.2025 Muda: Saa 6:30 Mchana Eneo: Kanisa Katoliki Kiwanja cha Ndege, Dodoma...
  2. Terrible Teen

    TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe. Ikumbukwe Jenister Mhagama alikuwa waziri wa Afya wakati wa matukio ya Oktoba 29, 2025.
Back
Top Bottom