Miaka elfu Kumi ijayo Dini za ukristo Na uislamu huenda zikawa zimetoweka kabisa Afrika( kwingineko duniani zinatoweka Kwa Kasi ya ajabu ) na watu watarejea kwenye Imani zao ZA asili ZA matambiko .
Kwa Sababu ukitafakari Kwa kina utagundua mafundisho mengi ya Dini hizi yapo kinyume Na uhalisia...