jean ahoua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Kwa Wanasimba TU, wate mliomlaumu Jean Ahoua naomba Kwa pamoja mumtake radhi

    Nasema kwa Wanasimba TU,wale wote mliomtukana,mliomponda ,mliomlaumu na mliomshambulia mchezaji Jean Ahoua wa Simba,baada ya kukosa goli siku ya mechi ya kwanza baina ya Simba na Stellenbosch huko zanziber. Muombeni msamaha Shujaa Ahoua. Nawataka wote mumuombe radhi na msamaha kijana huyo,kwa...
  2. Camilo Cienfuegos

    Anaandika Mo Dewji kuhusu Jean Ahoua

    Wanasimba, Jean-Charles Ahoua ni mmoja wa wachezaji waliotupa sababu nyingi za kushangilia msimu huu, licha ya vyote amekuwa sehemu ya mafanikio yetu. Kwa kosa moja lilitokea tunaweza kumsema vibaya leo, ila tukumbuke: hata mastaa wa dunia kama Fernando Torres waliwahi kukosa magoli ya wazi —...
  3. Waufukweni

    Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  4. Waufukweni

    Klabu ya Simba yang'ara tuzo za mwezi Agosti Ligi Kuu ya NBC

    Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu. Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha...
Back
Top Bottom