Tasnia ya muziki wa bongo fleva, hususan muziki wa Rap wa zamani kutoka kwenye viunga vya wilaya ya Temeke, imepata pigo kufuatia kifo cha aliyekuwa mwanzilishi wa kundi la Rap la LWP (Majitu), Salum Ngwele maarufu kama Janka Rhino.
Janka ambaye pia alikuwa kiongozi wa kundi hilo la Rap...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.