Wasalaam wana-JF,
Kama kichwa cha uzi hapo ''kuna uwezekano mkubwa sana jamii zilizopata elimu ya mzungu huku Africa haswa Tanzania hazina maarifa ya asili''.
Nimejaribu kusoma maendeleo ya viwanda, biashara, na uchumi kwa ujumla baadhi ya nchi hasa za Asia unakuta walitumwa watu kwenda kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.