Labda mlidhani itakuwa rahisi kuwafanyia uonevu kwakuwa ni moja ya kabila ambalo halijachanganyika sana na makabila mengine Tanzania.
Huo ni ujinga na upumbavu kuwaza hivyo, hatukujenga nchi yetu kwenye misingi ya namna hiyo na hatuwezi ruhusu nchi iendeshwe kwenye misingi ya namna hiyo hata...
Moja kwa moja kwenye mada.
Tukiendelea kukaa kimya na kufumba macho pamoja na kuziba masikio tunajidanganya.
Sakata la Loliondo miaka ya 90 utawala wa Rais Ally Hassa Mwinyi uliwafurusha wamasai na kuwaweka waarabu, tukasema hayatuhusu. Ingawa wapo waliopaza sauti hadi kupoteza maisha. Heshima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.