Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Mhe Robert Makaramba akieleza Juu ya uthibitishaji wa makosa kisheria ambapo alielezea kwa miktadha kadha wa kadha.
"Nchi hii sisi tuna maajabu, huwa tunaweza kukuangalia tu na tukajua unaenda kutenda kosa; Na ili usitende kosa tunakuzuia kwa kitu kinaitwa...
Wakuu
Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Robert Makaramba atoa tafakari juu tukio la Polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA katika Mahakama Kuu.
"Nilikuwa nashangaa Polisi ndiye anayepaswa kujua kwamba Mahakama imejaa au ni uongozi wa Mahakama ndiyo unapaswa kusema pamejaa, na kujaa maana yake ni nini?"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.