Jenerali Ulimwengu, amekosoa vikali mfumo wa kisiasa nchini na namna nchi ilivyoingia kwenye mfumo wa vyama vingi bila kufuata ushauri wa kina uliotolewa na Tume ya Jaji Nyalali mwaka 1992.
Akizungumza leo Septemba 7, 2026, katika mkutano uliowakutanisha wadau kujadili hali ya kisiasa nchini...