jaji masaju

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Jaji Masaju kama mahakama ni chombo huru kwa nini kiendelee kusikiliza kesi ya Lissu ambayo haina mashiko?

    Mahakama ina mamlaka ya kuondoa kesk pale inapoona hakuna mashiko ya kiushahidi. Leo hii mnalazimisha kusema kuwa watu mil 60 walioangalia video ya Lissu walihamasika kukinukisha na mahakama inapoteza muda kusikiliza ushahidi huu. Kwa nini mahakama yako isitumie busara na kuiondoa hii kesi kwa...
  2. Stuxnet

    Hongera Jaji Masaju kwa kuanzisha Ofisi za Kanda za Mahakama ya Rufaa

    Jaji Mkuu George Masaju, Desemba 23, 2025, akiwa Mbeya amesema kuwa kuanzia mwezi Februari 2026 Kanda za Mwanza, Mbeya, Arusha na Dar es Salaam zitakuwa na majopo ya majaji 4 kila moja (Dar itakuwa na majopo 4) kwa jili ya kuongeza kasi ya usikilizaji mashauri/ kesi za rufaa nchini. Hii ni...
  3. Lord Denning

    Mahakama kwa kulinda Integrity na Trust ya Mahakama itisheni faili ya Kesi ya CHADEMA inayosimamiwa na Jaji Hamidu mfanye mapitio

    Nakujua vizuri wewe ni msabato safi unayependa Haki pamoja na mapungufu yako kama binadamu. Sidhani kama mnajua picha mnayojenga Mhimili wa Mahakama hasa kwenye kuaminika na kutenda Haki kwa Wananchi na Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutokana na mwenendo mliokuwa nao miaka ya hivi karibuni...
  4. M

    Rais Samia amteua Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Mheshimiwa George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Mheshimiwa Masaju anachukua nafasi ya Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu. Uapisho wa Jaji...
Back
Top Bottom